IQNA

Sauti | Tilawa ya Ustadh Ahmad Abolqassemi ya Surah An‑Nisaa

Sauti ya tilawa ya aya 71 hadi 77 za Surah An‑Nisaa ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya Ustadh Ahmad Abolqassemi, qari wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu, ambayo imesomwa katika majlisi ya tilawa ya Razavi ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (A.S.), inawasilishwa kwa wasikilizaji wa IQNA.

 

صوت | تلاوت احمد ابوالقاسمی از سوره «نساء»

Kishikizo: abulqasemi ، qiraa